Tumia Wi-Fi Direct (AP Rahisi) Kuunganisha

Kompyuta haijaunganishwa kwenye kipanga-njia cha pasi waya. Kompyuta itaunganishwa kwenye kifaa kwa kutumia Wi-Fi Direct (AP Rahisi).