Hongera, umekamilisha kusanidi printa wako!

Suluhisho za Epson Connect

Tumia Vifaa vya Mkononi! Chapisha picha na hati zako kwa kutumia simu yako ya hali ya juu, kompyuta kibao au kompyuta ya mkononi ukiwa umekaa, ofisini, au duniani kote. Tafadhali tembelea tovuti ya eneo lako ya Epson ili ukague utangamanifu wa bidhaa.

Email Print
Epson iPrint Mobile App
Remote Print Driver

Kwa maelezo zaidi kuhusu suluhisho za Epson Connect, tembelea tovuti ya kitovu cha Epson Connect:
https://www.epsonconnect.com/

Ikiwa kuna matatizo ya ubora katika uchapishaji wako

Bofya kiungo cha "Bofya hapa wakati ubora wa uchapishaji ni duni." kwenye skrini na ufuate maagizo kwenye skrini ili ukague nozeli ya kichwa cha kuchapisha au safisha kichwa cha kuchapisha.