Angalia rangi uliyoongeza kwenye mstari wa juu, na ufuate maelekezo yaliyo kwenye skrini ya LCD ili uweke viwango vya wino tena.