Unganisha kebo ya simu kwenye tundu la LINE nyuma ya bidhaa. Chagua moja kati ya yafuatayo.
Ikiwa hutaki kutumia kitendaji cha faksi, ruka hatua hii.
Kuunganisha kwenye PSTN au PBX
Kuunganisha kwenye DSL au ISDN