Bonyeza kitufe cha ili kuanza kutia wino.
Kutia wino kunachukua takribani dakika 10.
Muhimu:
Usifungue kifuniko cha ndani au kuzima printa hadi utiaji wa wino ukamilike.