Shikilia kitufe cha [WPS] chini kwenye kipanga njia cha pasi waya hadi taa ya usalama iwake.

Ikiwa hujui kitufe cha [WPS] kiko wapi, au hakuna vitufe kwenye kipanga njia cha pasi waya, angalia waraka uliotolewa na kipanga njia cha pasi waya kwa maelezo.