
Kumbuka: |
|
Nenosiri linaathiriwa na herufi.
Ikiwa hakuna nenosiri lililoonyeshwa, kagua kama maelezo yameandikwa kwenye lebo ya kipanga njia cha pasi waya. Kwenye lebo, huenda nenosiri likatambuliwa kama "Ufunguo wa Mtandao", "Nenosiri Pasi waya" na kuendelea. Ikiwa unatumia kipanga njia cha pasi waya katika mipangilio yake msingi, tumia nenosiri lililoandikwa kwenye lebo.
|