Jinsi ya Kuonyesha SSID kwenye Kompyuta

1 . Fungua skrini ya uteuzi kwenye SSID unayotaka kuunganisha.

Kwa Windows 10
Bofya kwenye upaukazi.
SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini.
Kwa Windows 8.1/Windows 8/Windows 7
Bofya kwenye upaukazi.
SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini.
Kwa Windows Vista
Bofya kulia ikoni ya pasi waya kwenye upaukazi, na kisha ubofye Tazama mitandao inayopatikana ya pasi waya.
SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini ya Unganisha kwenye Mtandao pasi waya.
Kwa Windows XP
Bofya Anzisha > Paneli Dhibiti > Miunganisho ya Mtandao > Unda muunganisho mpya.
SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini ya Muunganisho wa Mtandao pasi waya.
Kwa MacOS
Bofya menyu ya .
SSID zinazopatikana huonyeshwa kwenye skrini.

2 . Chagua SSID sawa kama ilivyoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya printa.