Kuchapisha Ripoti ya Muunganisho wa Mtandao

1 . Pakia karatasi.

2 . Chagua Mipangilio kwenye skrini ya mwanzo, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

3 . Chagua Mipangilio ya Mtandao > Ukaguzi wa Muunganisho, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Ukaguzi wa muunganisho huanza.

4 . Bonyeza ili uchapishe ripoti ya muunganisho wa mtandao.