1
.
Unganisha kwa SSID.
Kwa Windows 10
Ondoa Unganisha kiotomatiki, na kisha ubofye Unganisha.
Kwa Windows 8.1/Windows 8/Windows 7/Windows Vista
Bofya Unganisha.
Kwa Windows XP
Bofya kulia kwenye SSID, na kisha ubofye Unganisha.
Kwa MacOS
Hakuna hatua inayohitajika.
2
.
Unganisha printa na kompyuta kwa kuingiza nenosiri lililoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya printa kwenye kompyuta.
Kwa Windows XP, ingiza Ufunguo wa mtandao na Thibitisha ufunguo wa mtandao.
3
.
Kwa watumiaji wa Windows 8.1/Windows 8/Windows 7/Windows Vista, unaweza kuweka kompyuta yako iunganishe kwenye printa kiotomatiki kila wakati unapowasha kompyuta yako.
Si lazima uweke hii ikiwa unataka kuunganisha printa wakati unapoitumia.